Winning Ladies National Convention

CCC Upanga, Dar es Salaam

Fri 07, Jul 2017 at 08:00 AM

Maelezo kuhusu tukio hili

Karibu kwenye kongamano la WINNING LADIES NATIONAL CONVENTION.
......

Ni Kongamano linalotegemewa kuwa kubwa sana litakalokutanisha wanawake kutoka nyanja zote kuabudu, kujifunza na kufurahi pamoja. Kutakuwa na wanenaji mbali mbali kutoka Tanzania na nje ya Tanzania akiwemo Mwanamama mashuhuri kutoka nchini Nigeria ambaye anasifika kwa uwezo wake wa kufundisha na kuongoza makongamano ya wanawake sehemu mbali mbali duniani Revd Funke Felix Adejumo.

Lakini pia Tutakua na Ntokozo Mbambo na Mumewe Nqubeko Mbatha kutoka South Africa ambao ni waimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili waliowahi kuimba na kundi maarufu la Joyous Celebration. Kutakua na wanenaji na waimbaji wengine kutoka nchini hapa na Kenya pia.

Kwa Mawasiliano Zaidi
0717190413 - Pastor Rose Shaboka (Event Organizer)

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo