MAN to MAN TALK

Msasani Tower!, Dar es Salaam

Sat 17, Jun 2017 at 05:30 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

MADA KUU: Tofauti kati ya mwanaume Baba na Kiumbe mwenye jinsi ya kiume!

Karibuni wanaume tuje tuzungumze kwa uwazi masuala yanayotuhusu wanaume!
Shughuli hii itaongozwa na kusimamiwa na Harris Kapiga!

Wazungumzaji:
1. Robert Reuben, Mwandishi wa vitabu na mshauri wa masuala ya ndoa
2. Mwl. Paschal Mnemwa, Mwongozaji 'Mwanaume Halisi Workshop'

Karibuni nyote!

Taarifa Kuhusu Mwandaaji

TiME Tickets

TiME Tickets is a multi-platform software which redefines ticketing experience by making the process easy convenient and safe. Its available via web, and android apps and even on feature phone.

Organizer's Social Media Accounts

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo