NGUVU YA MWANAMKE

Belmont Fairmont Hotel, Mwanza

Sun 04, Mar 2018 at 02:00 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

Semina ya NGUVU YA MWANAMKE itafanyika katika ya hoteli ya Belmont Fairmont, Mwanza siku ya Jumapili 4/3/2018 kuanzia saa nane mchana.

Wazungumzaji watakuwa ni Dr. Sebastian Ndege, Harris Kapiga na Paul Magola.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0752757908 au 0715712670

Taarifa Kuhusu Mwandaaji

TiME Tickets

TiME Tickets is a multi-platform software which redefines ticketing experience by making the process easy convenient and safe. Its available via web, and android apps and even on feature phone.

Organizer's Social Media Accounts

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo