Walter Chilambo’s ASANTE Album Launch

CCC Upanga, Dar es Salaam

Sun 03, Jun 2018 at 02:00 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

WALTER CHILAMBO’s ASANTE Album Launch.

Walter Chilambo ataimba akisindikizwa na uwepo wa Dr. Ipyana Kibona, Ambwene Mwasongwe Christopher Mwahangila, Derrick Marton, Ritha Komba, Neema Mudosa and Samuel D. Kulola.

Kiingilio kitakuwa: Watoto 3000/ Kawaida 5000/ VIP 10000.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0755 104 034 / 0718 664 741 / 0783 66 46 53

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo