SEMINA YA UFUGAJI KUKU KIBIASHARA MWANZA

Rocky City Mall, Mwanza

Sat 19, May 2018 at 02:00 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

Kwenye Semina Hii Utapata Elimu, Ushauri, Utapata nafasi ya Kuuliza Maswali Kuhusiana Na Ufugaji wa Kisasa, Mitaji, Mikopo, Utotoleshaji Mgonjwa na Tiba

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo