SEMINA YA UFUGAJI KUKU KIBIASHARA MWANZA

Rocky City Mall, Mwanza

Sat 19, May 2018 at 06:30 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

Kwenye Semina Hii Utapata Elimu, Ushauri, Utapata nafasi ya Kuuliza Maswali Kuhusiana Na Ufugaji wa Kisasa, Mitaji, Mikopo, Utotoleshaji Magonjwa na Tiba

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo