#FahamuTalk by A. Luvanda & Dr. C. Mauki

Nkurumah Hall, UDSM, Dar es Salaam

Sun 04, Sep 2016 at 12:00 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

Hivi unafahamu kuwa mahusiano yanaathiri uchumi na uchumi unaathiri mahusiano? Sasa basi #tonyinspirationaltalk na #christomsolution wanakuletea #fahamutalk ambapo Dr. Chris Mauki mtaalamu wa mahusiano na saikolojia pamoja na Anthony Luvanda, mjasiriamali na mhamasishaji wataongea kuhusu Uchumi na Mahusiano.

Semina hii ni kwa vijana wote kuanzia umri wa miaka 18. Kwa kiingilio cha shilling elfu 20,000/= tu

Kwa maelezo zaidi piga 0716 971 233, AU 0753 756956

Kwa msaada wa kununua tiketi mtandaoni, PIGA BURE 0800 71 0040

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo