SAFARI (Dar - Mtwara) - Mahafali Ya 25 Chuo Cha Utumishi Wa Umma

Magogoni, Dar es Salaam

Wed 07, Sep 2016 at 08:40 AM

Maelezo kuhusu tukio hili

Mchango Wa Safari Ya Kuelekea Ktk Mahafari Ya 25 Chuo Cha Utumishi Wa Umma, Dar - Mtwara.

Mahafali ni 23/09/2016 Safari Itaanza 21/09/2016 Magogoni
Gharama: 110,000/= kwa watakao anzia safari Dsm Magogoni na 132,000/= kwa wageni watakaopokelewa toka nje ya DSM.

Mwisho wa kutoa michango ni: 17.09.2016

Kwa maelezo zaidi ya nanma ya kulipia, PIGA BURE 0800710040

Kwa maelezo zaidi kuhusu Mahafali na taratibu nyingine,

0714 189 919
0718 581 181
0717 872 020
0657 315 950
0659 468 276

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo