Mchango kwa kituo cha kulea watoto yatima WATOTO WETU TANZANIA

Kimara, Dar es Salaam

Sat 05, Nov 2016 at 02:05 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

Karibu tuwachangie kituo cha kulea watoto yatima cha WATOTO WETU TANZANIA. Michango hii itatumika kuwanunualia mahitaji muhimu kama vile, chakula, mavazi, ada za shule, na vifaa vya shule.

Michango hii inaratibiwa na Dina Marios, kupitia mradi wa Dada Dina Cares. Kwa utaratibu huu Dada Dina Cares kupitia ukusanyaji wa michango kwa miaka iliyopita tumeweza kuchangisha michango kwaajili ya vituo mbalimbali vya malezi ya watoto kama vile Sifa Centre ya Bunju, Vetenari Centre - Temeke, na Zaidia Centre - Sinza, House of Hope - Mabibo, Mayunga Orpanage - Kinondoni. Huko tulipeleka chakula, nguo, vifaa vya usafi, sare za shule, ada na vingine vingi.

Kwa wenye michango ya aina nyingine mbali na pesa tafadhali wasialiana nasi kupitia

Dada Dina Cares Org. - 0787 583 132
Watoto Wetu Tanzania Orphanage Centre -

Taarifa za mchango

263,200 TZS
Zimechangwa kati ya 5,000,000 TZS toka kwa
13
WachangiajiUchangiaji wa tukio hili umefikia kikomo
Uchangiaji wa tukio hili umefikia kikomo