Ni Salama Concert

DPC Kinondoni, DAR ES SALAAM

Sun 04, Dec 2016 at 03:00 PM

Maelezo kuhusu tukio hili

Pastor Safari Paul ambaye ni mchungaji wa DPC atazindua na kuweka wakfu album yake mpya iitwayo Ni Salama. Pastor Safari atasindikizwa na Upendo Nkone, Sam Yonah, Bomby Johnson, sarah Ndosi na Moses Zamangwa

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo