ActivePlayDay Kinyerezi

Active Tots Zone Kinyerezi Branch, Dar Es Salaam

Sat 11, Feb 2017 at 08:00 AM

Maelezo kuhusu tukio hili

Mlete mwanao kwenye tawi letu la Kinyerezi kwa ajili ya michezo mbali mbali / Bring your child to our Mikocheni branch for our play day at Active Tots we Play, Learn and Grown together.

Michezo itakayo kuwepo:
- Swimming pool games
- Jumping Castle
- Movies
- Toys
- Football & Net Ball
- Trapeze (Bembea)
- Msusi atakuwepo kwa watoto wa kike.

Lunch and drinks will be saved.

At the Gate 10,000/= TZS only.

Tarehe 11 Februari 2017 kuanzia saa 4 asubuhi hadi 10 Jioni.

Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo