Marriage Revival Dinner Party - Karakana ya Wanandoa
Mikocheni B, Dar es Salaam
Fri 03, Mar 2017 at 06:30 PM

Maelezo kuhusu tukio hili
Maisha ya Ndoa ni paradiso ngodo na ni haki ya kila mwanandoa! Karibu kwenye Dinner Party itakayoongozana na mafunzo kutoka kwa Bishop Dr. Getrude Rwakatare, Pastor Sylvanus Komba kutoka Dodoma na Bishop Dunstan Maboya wa Arusha. Manesa Masanga na Bahati Bukuku watahudumu.
Taarifa Kuhusu Mwandaaji
TiME Tickets
TiME Tickets is a multi-platform software which redefines ticketing experience by making the process easy convenient and safe. Its available via web, and android apps and even on feature phone.
Organizer's Social Media Accounts
Uuzaji wa ticket wa tukio hili umefikia kikomo